RB LEIPZIG YAWATAFUNA SCHALKE O4 3-0 KATIKA BUNDESLIGA
MABAO ya beki Mfaransa, Nordi Mukiele dakika ya 45, kiungo Muaustria Marcel Sabitzer dakika ya 73 na beki Mjerumani, Vilmos Tamas Orban dakika ya 87 jana yameipa RB Leipzig ushindi 3-0 dhidi ya waburuza mkia Bundesliga, Schalke 04 Uwanja wa Veltins-Arena mjini Gelsenkirchen. Sasa RB Leipzig inafikisha pointi 41 na kuendelea kukamata nafasi ya pili, ikiwa inazidiwa saba na vinara, Bayern Munich baada ya timu zote kucheza mechi 20PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment