NGORONGORO HEROES WAENDA MAURITANIA KUCHEZA FAINALI ZA AFCON U20, WATAANZA NA GHANA JUMANNE
TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imeondoka Dar es Salaam Alfajir ya leo kwenda Mauritania kwa ajili ya Fainali za AFCON U20 zinazoanza Jumapili hadi Machi 6. Ngorongoro imepangwa Kundi C pamoja na Ghana, Tanzania, Gambia na Morocco – na itafungua dimba na Ghana Jumanne kabla ya kucheza na Gambia Februari 19 na kumaliza na Morocco Februari 22, mecho zote Uwanja wa Manispaa ya Nouadhibou. juzi iliifunga Namungo FC 3-2 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, Chamazi – mabao yake yakifungwa na Kelvin John mawili dakika ya sita na 26 na Abdul Khamis dakika ya 81, ya Namungo FC yakifungwa na Adam Salamba dakika ya 75 na 87.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment