• HABARI MPYA

        Wednesday, February 17, 2021

        MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA BARCA 4-1 CAMP NOU


        MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe Lottin jana amepiha hat trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 65 na 85 kuiwezesha Paris Saint-Germain kuichapa Barcelona mabao 4-1.
        Katika mchezo huo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya uliofanyika Uwanja wa Camp Nou, bao lingine la PSG lilifungwa na mshambuliaji Mtaliano, Moise Bioty Kean 70, wakati la Barcelona lilifungwa na Lionel Messi kwa penalti dakika ya 27
        PICHA ZAIDI GONGA HAPA
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA BARCA 4-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry