• HABARI MPYA

        Thursday, February 11, 2021

        MAN CITY NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND


        NAO Manchester City wamekwenda Robo Fainali ya Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Swansea City jana Uwanja wa Liberty, mabao yake yakifungwa na Kyle Walker dk30, Raheem Sterling dk47, Gabriel Jesus dk50 huku la wenyeji likifungwa na Morgan Whittaker dk77
         
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MAN CITY NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry