• HABARI MPYA

        Thursday, February 04, 2021

        LIVERPOOL WACHAPWA NYUMBANI, WAPIGWA 1-0 NA BRIGHTON


        BAO pekee la Steven Alzate dakika ya 56 jana limeipa Brighton & Hove Albion ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield.
        Matokeo hayo yanawafanya mabingwa watetezi, Liverpool sasa wazidiwe pointi saba na vinara, Manchester City kileleni mwa Ligi Kuu ya England 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LIVERPOOL WACHAPWA NYUMBANI, WAPIGWA 1-0 NA BRIGHTON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry