// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AL AHLY 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINELEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AL AHLY 2-0 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AL AHLY 2-0
MABAO ya Robert Lewandowski dakika ya 17 na 85 jana yaliwapa mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich uahindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia Uwanja wa Ahmed bin Ali Jijini Al Rayyan, Qatar. Sasa Al Ahly watamenyana na bingwa wa Amerika Kusini, Palmeiras ya Brazil kuwania nafasi ya tatu Saa 12:00 jioni, wakati Bayern Munich itamenyana na bingwa wa Amerika Kaskazini Tigres UANL ya Mexico katika fainali Saa 3:00 usiku, mechi zote zikipigwa Alhamisi Uwanja wa Education City Jijini Al RayyanPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment