// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Monday, February 01, 2021

        CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL


        CHELSEA imepata ushindi wa kwanza chini ya kocha Thomas Tuchel baada ya kuichapa Burnley 2-0, mabao ya Cesar Azpilicueta dakika ya 40 na Marcos Alonso dakika ya 84 Uwanja wa Stamford Bridge, London.
        Kwa ushindi huo, The Blues inafikisha pointi 33 baada ya kucheza mechi 21 na kusogea nafasi ya saba, ikiwa inazidiwa pointi 11 na vinara, Manchester City
         PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: CHELSEA YASHINDA MECHI YA KWANZA CHINI YA THOMAS TUCHEL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry