
Sunday, February 28, 2021

SIMBA SC itamenyana na Kagera Sugar hapa Dar es Salaam na Yanga SC itaifuata Tanzania Prisons huko Sumbawanga mkoani Rukwa katika Hatua ya...
LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 5-1
Sunday, February 28, 2021
MSHAMBULIAJI Robert Lewandowski jana amefunga mabao mawili, Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa 5-1 dhidi ya FC Cologne katika mchezo wa Bu...
MANCHESTER CITY YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-1 ETIHAD
Sunday, February 28, 2021
TIMU ya Manchester City imezidi kujisogeza jirani na ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United jana Uw...
MESSI, DEMBELE WAFUNGA BARCELONA YASHINDA 2-0 LA LIGA
Sunday, February 28, 2021
TIMU ya Barcelona jana imeshindia 2-0 ugenini dhidi ya Sevilla katika mchezo wa La Liga, mabao ya Ousmane Dembele dakika ya 29 na Lionel Mes...
Saturday, February 27, 2021
PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF
Saturday, February 27, 2021
BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora...
YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Saturday, February 27, 2021
BAO la penalti la Mrundi, Fiston Abdul Razak limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Azam Sport...
SIMBA SC 3-0 AFRICAN LYON (KOMBE LA TFF)
Saturday, February 27, 2021
Friday, February 26, 2021
SIMBA SC YAENDELEA KUNG'ARA, YAWATANDIKA AFRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Friday, February 26, 2021
SIMBA SC imetinga Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup baada ya...
KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA
Friday, February 26, 2021
KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Paulsen ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 43 kwa maandalizi ya mechi...
AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA BENFICA 3-2
Friday, February 26, 2021
TIMU ya Arsenal imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Benfica jana Uwanja wa Georgios Kara...
Thursday, February 25, 2021
NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA
Thursday, February 25, 2021
TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkaoni Lindi imefanikiwa kwenda Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa 3-1 na Primiero ...
MAN CITY WAICHAPA BORUSSIA MONCHENGLADBACH 2-1
Thursday, February 25, 2021
TIMU ya Manchester City imetanguliza mguu mmoja Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Monchenglad...
BABA WA ALISSON BECKER AFARIKI DUNIA AKIOGELEA BWAWANI BRAZIL
Thursday, February 25, 2021
Alisson Becker (lkushoto) akiwa na baba yake, Jose (kulia) amefariki dunia baada ya kuzama kwenye bwawa ziwani nchini Brazil PICHA ZAIDI G...
Wednesday, February 24, 2021
SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO
Wednesday, February 24, 2021
TANZANIA Boys imepangwa Kundi B pamoja na Algeria, Kongo na Nigeria katika Fainali za AFCON U17 nchini Morocco Julai mwaka huu. Serengeti Bo...
GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0
Wednesday, February 24, 2021
MSHAMBULIAJI Mfaransa, Olivier Giroud jana amefunga bao zuri la tik tak dakika ya 68 akiiwezesha Chelsea kushinda 1-0 dhidi ya Atletico Madr...
MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD CASABLANCA YASHINDA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA
Wednesday, February 24, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amecheza kipindi kimoja tu, timu yake Wydad Athletic Club, maarufu W...
SIMBA SC 1-0 AL AHLY (LIGI YA MABINGWA AFRIKA)
Wednesday, February 24, 2021
Tuesday, February 23, 2021
SIMBA SC YAITWANGA AL AHLY YA MISRI 1-0 NA KUPANDA KILELENI KUNDI A LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Tuesday, February 23, 2021
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba Sports Club wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA EDGAR FONGO, MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA
Tuesday, February 23, 2021
AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU CHAMAZI
Tuesday, February 23, 2021
AZAM FC wamelazimshwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jij...
NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE FAINALI ZA AFCON U20 BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MOROCCO MAURITANIA
Tuesday, February 23, 2021
TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, AFCON U20 baada ya kuchapwa ma...
Monday, February 22, 2021
NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO
Monday, February 22, 2021
TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itapangwa Kundi D itafuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa mujibu wa ratiba iliyo...
MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 3-1 LIGI KUU ENGLAND
Monday, February 22, 2021
TIMU ya Manchester United imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Old Traff...
MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR
Monday, February 22, 2021
SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa B...
NAMUNGO FC YATANGULIZA MGUU MMOJA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 1 PRIMIERO DE AGOSTO 6-2
Monday, February 22, 2021
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Namungo FC imetanguliza mguu mmoja hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi ...
Sunday, February 21, 2021
CHELSEA YALAZIMISHA SARE YA 1-1 NA SOUTHAMPTON NGLAND
Sunday, February 21, 2021
KATIKA Ligi Kuu ya England, Chelsea jana imelazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Southampton Uwanja wa St. Mary's, wenyeji wakitangulia kwa...
Saturday, February 20, 2021
YANGA SC 1-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Saturday, February 20, 2021
CARLINHOS ATOKEA BENCHI NA KUIFUNGIA YANGA SC BAO PEKEE LA USHINDI YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 DAR
Saturday, February 20, 2021
BAO pekee la kiungo Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimaraes do Carmo, maarufu kama Carlinhos dakika ya 73 limetosha kuipa Yanga SC u...
Friday, February 19, 2021
NGORONGORO HEROES YAOKOTA POINTI YA KWANZA AFCON U20 BAADA YA SARE YA 1-1 NA GAMBIA LEO NCHINI MAURITANIA
Friday, February 19, 2021
TANZANIA imeokota pointi ya kwanza katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 (AFCON U20) baada ya sa...
SERENA WILLIAMS ALIA BAADA YA KUTOLEWA AUSTRALIAN OPEN
Friday, February 19, 2021
ENA WS MKONGWE Serena Williams jana alimwaga machozi kwenye mkutano na wana habari baada ya kutolewa katika Nusu Fainali ya Australian Open ...
MAN UNITED YAICHAPA REAL 4-0 NA KUTINGA UEFA EUROPA LEAGUE
Friday, February 19, 2021
TIMU ya Manchester United imefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora ya UEFA Europa League baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Real Sociedad, mabao y...
BIASHARA UNITED 0-1 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Friday, February 19, 2021
AZAM FC YAZINDUKA NA KUWACHAPA MBEYA CITY MABAO 2-1 KATIKA MECHI YA LIGI KUU TANZANIA BARA
Friday, February 19, 2021
AZAM FC jana imezinduka na kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Azam Complex, ...
Thursday, February 18, 2021
MORRISON AING'ARISHA SIMBA SC MUSOMA, AFUNGA BAO PEKEE LA USHINDI DHIDI YA BIASHARA UNITED
Thursday, February 18, 2021
Na Asha Said, MUSOMA BAO pekee la winga Mghana, Benard Morrison dakika ya 22 leo limetosha kuipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, B...
MAN CITY WAZIDI KUPAA ENGLAND BAADA YA KUIPIGA EVERTON 3-1
Thursday, February 18, 2021
TIMU ya Manchester City jana imeshinda 3-1 dhidi ya Everton FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Man Ci...
YANGA SC 3-3 KAGERA SUGAR (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Thursday, February 18, 2021
YANGA SC WASAWAZISHA MARA TATU MFULULIZO KUPATA SARE YA 3-3 NA KAGERA SUGAR LIGI KUU DAR
Thursday, February 18, 2021
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC jana walilazimika kusawazisha mara tatu mfululizo kupata sare ya...
Wednesday, February 17, 2021
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MHESHIMIWA TEMBA
Wednesday, February 17, 2021
KMC 2-1 MWADUI FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Wednesday, February 17, 2021
JENNIFER BRADY ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN
Wednesday, February 17, 2021
MCHEZAJI bora namba 22 duniani, Jennifer Brady ametinga Nusu Fainali ya Australian Open 2021 baada ya kutoka nyuma na kumfunga Mmarekani mwe...
MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA HUNGARY LIVERPOOL YASHINDA 2-0
Wednesday, February 17, 2021
MABAO ya Mohamed Salah dakika ya 53 na Sadio Mane dakika ya 58 jana yaliipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya RB Leipzig katika mchezo wa kw...
MBAPPE APIGA HAT TRICK PSG YAICHAPA BARCA 4-1 CAMP NOU
Wednesday, February 17, 2021
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe Lottin jana amepiha hat trick kwa mabao yake ya dakika za 32, 65 na 85 kuiwezesha Paris...
NGORONGORO HEROES YAANZA VIBAYA MICHUANO YA AFCON U20 MAURITANIA, YACHARAZWA 4-0 NA GHANA
Wednesday, February 17, 2021
TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imeanza vibaya Fainali za Kombe la Mataifa kwa Vijana chini ya umri wa ...
CAF YAAMUA NAMUNGO NA PRIMIERO DE AGOSTO MECHI ZOTE MBILI ZICHEZWE TANZANIA NDANI YA SAA 72
Wednesday, February 17, 2021
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeamua mechi zote mbili za Kombe la Shirikisho kati ya Primiero de Agosto...
Tuesday, February 16, 2021
SERENA WILLIAMS ATINGA NUSU FAUNALI AUSTRALIAN OPEN
Tuesday, February 16, 2021
MKONGWE Serena Williams ametinga Nusu Fainali ya Australian Open kwa ushindi wa seti mbili mfululizo (6-3, 6-3) dhidi ya mchezaji bora namba...
CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE UNITED 2-0 NA KUREJEA NNE BORA
Tuesday, February 16, 2021
MABAO ya Olivier Giroud dakika ya 31 na Timo Werner dakika ya 39 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchez...
Monday, February 15, 2021
REAL MADRID YAICHAPA VALENCIA 2-0 KATIKA LA LIGA
Monday, February 15, 2021
MABAO ya Karim Benzema dakika ya 12 na Toni Kroos dakika ya 42 jana yaliipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Valencia katika mchezo wa La...
MANCHESTER UNITED WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM
Monday, February 15, 2021
TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1 na West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa The Hawthorn...
NADAL ATINGA ROBO FAINALI MICHUANO YA AUSTRALIAN OPEN
Monday, February 15, 2021
MSPANIOLA Rafael Nadal amekaribia rekodi ya taji la 21 la Grand Slam upande wa wanaume baada ya kumtoa mchezaji bora namba 16 duniani, Fabio...
AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK ARSENAL YAICHAPA LEEDS 4-2
Monday, February 15, 2021
TIMU ya Arsenal jana imeifunga Leeds United 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London. Nahodha Pierre-Emerick Auba...
TFF YAMTAMBULISHA MDENMARK KIM POULSEN KUWA KOCHA MPYA WA TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU
Monday, February 15, 2021
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemtambulisha Mdenmark Kim Polusen kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya wakubwa, Taifa Stars akichukua n...
SIMBA SC YAREJEA DAR BAADA YA KUWAPIGA AS VITA KWAO MECHI YA UFUNGUZI MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
Monday, February 15, 2021
KIKOSI cha Simba SC kimerejea jana Jijini Dar es Salaam kutoka Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako Ijumaa walipata ushin...
NGORONGORO HEROES WAKIPASHA JIJINI NOUADHIBOU KUELEKEA MECHI NA GHANA AFCON U20 KESHO
Monday, February 15, 2021
WACHEZAJI wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wakifanya mazoei jana Jijini Nouadhibou nchini Mauritania ...
Subscribe to:
Posts (Atom)