• HABARI MPYA

        Wednesday, January 27, 2021

        YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO

        KLABU ya Yanga imemtambulisha Edem Mortotsi kuwa kocha wake mpya wa mazoezi ya viungo.



        Pia imemtambulisha rasmi mchezaji wake wa zamani, Nizar Khalfan kuwa Kocha mpya Msaidizi

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry