YANGA SC YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 NA KUBISHA HODI NUSU FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR
BAO pekee la kiungo Zawadi Mauya dakika ya 25 leo limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kwa ushindi huo, Yanga SC inafikisha pointi nne baada ya kucheza mechi mbili na sasa inaongoza Kundi A ikiwa imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kwenda Nusu Fainali.
Kayla Rendell signs for United Women
-
The 23-year-old goalkeeper joins from Southampton, becoming our women's
team's first signing of the winter window.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment