• HABARI MPYA

        Tuesday, January 26, 2021

        SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHINDA 3-0 LIGI YA UTURUKI


        MSHAMBULIAJI Mtanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao la pili dakika ya 51, timu yake Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Kayserispor katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uturuki.
        Mabao mengine yamefungwa na Mame Baba Thiam dakika ya 20 na Papiss Demba Cisse.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHINDA 3-0 LIGI YA UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry