![]() |
MANCHESTER United kufanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la FA England baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya Liverpool leo Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 26, Marcus Rashford dakika ya 48 na Bruno Fernandes dakika ya 78, wakati ya Liverpool yote yamefungwa na Mohamed Salah dakika ya 18 na 58
0 comments:
Post a Comment