• HABARI MPYA

        Saturday, January 30, 2021

        NYOTA MPYA WA YANGA SC, MRUNDI FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOANZA KUJIFUA NA WENZAKE LEO DAR


        KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fiston Abdul Razak akiwa mazoezini na timu yake mpya, Yanga SC siku moja baada ya kujiunga nayo rasmi jana kufuatia kusaini mkataba wa miezi sita.


        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: NYOTA MPYA WA YANGA SC, MRUNDI FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOANZA KUJIFUA NA WENZAKE LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry