// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
CHELSEA YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA 1-0 FULHAM LONDON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINECHELSEA YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA 1-0 FULHAM LONDON - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
CHELSEA YANG'ARA ENGLAND, YAILAZA 1-0 FULHAM LONDON
BAO pekee la Mason Mount dakika ya 78 jana limeipa ushindi wa 1-0 Chelsea dhidi ya wenyeji, Fulham waliomaliza pungufu baada ya beki Mmarekani, Antonee Robinson kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 44 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Craven Cottage. The Blues wanafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 18 na kupanda kwa nafasi tatu hadi ya saba, wakiizidi Arsenal pointi tano ambayo inashika nafasi ya 11PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment