// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEBERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BERNARDO SILVA AFUNGA MAN CITY WAICHAPA ASTON VILLA 2-0 ETIHAD
MABAO ya Bernardo Silva dakika ya 79 na Ilkay Gundogan dakika ya 90 kwa penalti jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Manchester City wanafikisha pointi 38 baada ya kucheza mechi 18 na kuendelea kukaa nafasi ya pili nyuma ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United ambao wana pointi 40 za mechi 19PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment