Thursday, January 14, 2021

    BARCELONA YATANGULIA FAINALI SUPER CUP HISPANIA KWA MATUTA


    TIMU ya Barcelona jana ilitangulia fainali ya Super Cup Hispania baada ya ushindi wa penalti 3-2 kufuatia sare ya 1-1 na Real Sociedad katika mchezo wa Nusu Fainali kipa Ter Stegen akiibuka shujaa baada ya kuokoa penalti mbili Uwanja wa Nuevo Arcangel
     


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YATANGULIA FAINALI SUPER CUP HISPANIA KWA MATUTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry