AUBAMEYANG APIGA MBILI, ARSENAL YAICHAPA NEWCASTLE 3-0
MSHAMBULIAJI Pierre-Emerick Aubameyang jana amefunga mabao mawili dakika za 50 na 77 na Bukayo Saka akaongeza moja dakika ya 60, Arsenal ikiichapa Newcastle United 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Arsenal inafikisha pointi 27 baada ya ushindi wa jana kwenye mchezo wa 19 wa msimu, ingawa inabaki nafasi ya 10, wakati Newcastle United inabaki na pointi zake 19 za mechi 18 sasa katika nafasi ya 15PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment