// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
AL HILAL YAZINDUKA NA KUICHAPA TP MAZEMBE 2-1 DAR MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEAL HILAL YAZINDUKA NA KUICHAPA TP MAZEMBE 2-1 DAR MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
AL HILAL YAZINDUKA NA KUICHAPA TP MAZEMBE 2-1 DAR MICHUANO YA SIMBA SUPER CUP
TIMU ya Al Hilal ya Sudan imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya TP Mazembe katika mchezo wa michuano maalum ya Simba Super Cup leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Al Hilal iliyochapwa 4-1 na wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kwanza juzi, yamefungwa na Bonganga Vinny dakika ya 30 na Mohamed Musa dakika ya 90 baada ya TP Mazembe kutangulia kwa bao la Moustapha Kouyate dakika ya 12. Michuano hiyo itakamilishwa Jumapili kwa mchezo kati ya wenyeji, Simba SC na TP Mazembe.
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment