// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A
MABAO ya kipindi cha kwanza ya Rafael Leao na Franck Kessie jana yaliipa AC Milan ushindi wa 2-0 dhidi ya Torino kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza, Milan. Ushindi huo unaifanya Milan iendelee kuongoza Serie A kwa pointi nne zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Inter Milan (40-36), ambao leo wanamenyana na Roma kufikisha mechi 17 piaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment