// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); 01/01/2021 - 02/01/2021 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE 01/01/2021 - 02/01/2021 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, January 31, 2021
    SIMBA SC WATWAA KOMBE LA KWANZA 2021 BAADA YA KUTOA SARE YA 0-0 NA TP MAZEMBE YA DRC LEO DAR

    SIMBA SC WATWAA KOMBE LA KWANZA 2021 BAADA YA KUTOA SARE YA 0-0 NA TP MAZEMBE YA DRC LEO DAR

    WENYEJI, Simba SC wametwaa taji la Simba Super Cup licha ya kulazimishwa sare ya 0-0 na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)...
    Saturday, January 30, 2021
    NYOTA MPYA WA YANGA SC, MRUNDI FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOANZA KUJIFUA NA WENZAKE LEO DAR

    NYOTA MPYA WA YANGA SC, MRUNDI FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOANZA KUJIFUA NA WENZAKE LEO DAR

    KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fiston Abdul Razak akiwa mazoezini na timu yake mpya, Yanga SC siku moja baada ya kujiunga nayo...
    SIMBA SC KUMENYANA NA DODOMA JIJI FEBRUARI 2 JAMHURI KABLA YA KUWAVAA AZAM FC FEBRUARI 7 DAR VIPORO VYA LIGI KUU

    SIMBA SC KUMENYANA NA DODOMA JIJI FEBRUARI 2 JAMHURI KABLA YA KUWAVAA AZAM FC FEBRUARI 7 DAR VIPORO VYA LIGI KUU

    MABINGWA watetezi, Simba SC watamenyana na Dodoma FC Februari 2 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kabla ya kuwavaa Azam FC Februari 7, mwaka h...
    PRINCE DUBE MPUMELELO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI

    PRINCE DUBE MPUMELELO APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 3-1 MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI

    AZAM FC imeibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es S...
    Friday, January 29, 2021
    MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC, FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOWASILI LEO DAR BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIEZI SITA

    MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC, FISTON ABDUL RAZAK ALIVYOWASILI LEO DAR BAADA YA KUSAINI MKATABA WA MIEZI SITA

    KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi, Fiston Abdul Razak baada ya kuwasili Dar es Salaam leo kujiunga na klabu ya Yanga kufuatia kusa...
    MBWANA SAMATTA NA MCHEZAJI MWENZAKE MPYA, OZIL WAKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI KESHO UTURUKI

    MBWANA SAMATTA NA MCHEZAJI MWENZAKE MPYA, OZIL WAKIJIANDAA NA MECHI YA LIGI KESHO UTURUKI

    MSHAMBULIji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto) akiwa na mchezaji mwenzake mpya Fenerbahce, kiungo Mjerumani, Mesut Ozil...
    CARLOS CARLINHOS ANAVYOREJEA YANGA SC KAMA MPYA KUONGEZA NGUVU LALA SALAMA LIGI KUU

    CARLOS CARLINHOS ANAVYOREJEA YANGA SC KAMA MPYA KUONGEZA NGUVU LALA SALAMA LIGI KUU

    KIUNGO Muangola, Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo, maarufu Carlinhos akiwa mazoezini na timu yake, Yanga SC kwenye kambi yao, Avic...
    NYOTA WAWILI CHIPUKIZI WA TANZANIA WAENDA NCHINI TUNISIA KUJIUNGA NA KLABU YA LIGI KUU

    NYOTA WAWILI CHIPUKIZI WA TANZANIA WAENDA NCHINI TUNISIA KUJIUNGA NA KLABU YA LIGI KUU

    WINGA wa Namungo FC, Abeid Athumani na mshambuliaji wa Azam FC, Paul Peter aliyekuwa anacheza kwa mkopo KMC FC wameondoka jana usiku kwenda ...
    Thursday, January 28, 2021
    TAIFA STARS YATOLEWA CHAN BAADA YA SARE YA 2-2 NA GUINEA JIJINI DOUALA

    TAIFA STARS YATOLEWA CHAN BAADA YA SARE YA 2-2 NA GUINEA JIJINI DOUALA

    TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya sare ya 2-2 na Guinea usiku wa Jumatano katika mchezo wa mw...
    TFF YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA NA CHUO CHA UHASIBU MKOANI ARUSHA

    TFF YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO WA KUKUZA MIUNDOMBINU YA SOKA NA CHUO CHA UHASIBU MKOANI ARUSHA

    RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Eliamani Sedokeya wakibadilishana mkata...
    Wednesday, January 27, 2021
    AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU KUJIBUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI

    AFISA HABARI WA YANGA SC, HASSAN BUMBULI AFUNGIWA MIAKA MITATU KUJIBUSISHA NA SOKA NDANI NA NJE YA NCHI

    AFISA Habari wa klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli amefungiwa kujishughulisha na soka ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mi tatu kwa tuh...
    YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO

    YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI NIZAR KHALFAN SAMBAMBA NA KOCHA MPYA WA MAZOEZI YA VIUNGO

    KLABU ya Yanga imemtambulisha Edem Mortotsi kuwa kocha wake mpya wa mazoezi ya viungo. Pia imemtambulisha rasmi mchezaji wake wa zamani, Niz...
    MORRISON ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA MABAO MAWILI SIMBA SC IKIICHAPA AL HILAL 4-1 DAR

    MORRISON ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA MABAO MAWILI SIMBA SC IKIICHAPA AL HILAL 4-1 DAR

    WINGA Mghana, Bernard Morrison ametokea benchi na kufunga mabao mawili Simba SC ikiibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Al Hilal ya Sudan katika...
    MAN CITY YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUPIGA WEST BROM 5-0

    MAN CITY YAPANDA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUPIGA WEST BROM 5-0

    TIMU ya Manchester City imepanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion mabao ya Il...
    Tuesday, January 26, 2021
    MSHAMBULIAJI MNIGERIA JUNIOR LOKOSA ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA SIMBA SC LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    MSHAMBULIAJI MNIGERIA JUNIOR LOKOSA ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA SIMBA SC LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    KLABU ya Simba, mshambuliaji wa zamani wa Esperance ya Tunisia, Mnigeria  Junior Lokosa kuongeza nguvu kikosi kuelekea hatua ya makundi ya L...
    SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHINDA 3-0 LIGI YA UTURUKI

    SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO FENERBAHCE YASHINDA 3-0 LIGI YA UTURUKI

    MSHAMBULIAJI Mtanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao la pili dakika ya 51, timu yake Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya...
    Monday, January 25, 2021
    BEKI ERASTO NYONI AREJESHWA NYUMBANI KUTOKA KAMBI YA TAIFA STARS NCHINI CAMEROON KWA SABABU ZA KIAFYA

    BEKI ERASTO NYONI AREJESHWA NYUMBANI KUTOKA KAMBI YA TAIFA STARS NCHINI CAMEROON KWA SABABU ZA KIAFYA

    BEKI Erasto Edward Nyoni amerejeshwa nyumbani kutoka kambi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars huko Cameroon kwa sababu Kiafya. Nyoni,...
    YANGA SC YAMTANGAZA MCHEZAJI WAKE WA ZAMANI NIZAR KHALFAN KUWA KOCHA MPYA MSAIDIZI WA MRUNDI KAZE

    YANGA SC YAMTANGAZA MCHEZAJI WAKE WA ZAMANI NIZAR KHALFAN KUWA KOCHA MPYA MSAIDIZI WA MRUNDI KAZE

    KLABU Yanga SC imemtangaza rasmi mchezaji wake wa zamani na kocha wa African Lyon, Nizar Khalfan kuwa kocha mpya Msaidizi wa Mrundi, Cedric ...
    TANZANIA YAPANGWA KUNDI B AFCON U20 PAMOJA NA GAMBIA, MOROOCO NA GHANA

    TANZANIA YAPANGWA KUNDI B AFCON U20 PAMOJA NA GAMBIA, MOROOCO NA GHANA

    TANZANIA imepangwa Kundi C pamoja na Ghana, Gambia na Morocco katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya umri wa miaka 20 (AFCON ...
    MSHAMBULIAJI MGHANA WA YANGA SC, MICHAEL SARPONG ASAIDIA YATIMA KWAO

    MSHAMBULIAJI MGHANA WA YANGA SC, MICHAEL SARPONG ASAIDIA YATIMA KWAO

    MSHAMBULIAJI wa Yanga SC, Michael Sarpong wiki iliyopita alipata fursa ya kutoa msaada katika kituo cha Royal Seed Orphanage, kesho nchini G...
    TRESSOR MPUTU NA THOMAS ULIMWENGU WAJA DAR KUSHIRIKI SUPER CUP YA SIMBA SC

    TRESSOR MPUTU NA THOMAS ULIMWENGU WAJA DAR KUSHIRIKI SUPER CUP YA SIMBA SC

    KIKOSI kamili cha TP Mazembe kitakachokuja nchini kushiriki michuano ya Simba Super Cup inayotarajiwa kuanza Jumatano kikiongozwa na Mkongwe...
    REFA MMOJA TU WA TANZANIA, TENA MSAIDIZI ATEULIWA KUCHEZESHA AFCON U20 MAURITANIA

    REFA MMOJA TU WA TANZANIA, TENA MSAIDIZI ATEULIWA KUCHEZESHA AFCON U20 MAURITANIA

    ORODHA ya waamuzi walioteuliwa kuchezesha Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, (AFCON U20) baadaye mw...
    KIUNGO MKONGO WA YAMGA SC, MUKOKO TONOMBE ATOA MISAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI MKWAJUNI

    KIUNGO MKONGO WA YAMGA SC, MUKOKO TONOMBE ATOA MISAADA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI MKWAJUNI

    KIUNGO wa Yanga SC, Mkongo  Mukoko Tonombe jana alipata fursa ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika cha watoto yatima cha Maunga Centre ...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top