VIGOGO wa soka Tanzania, Yanga SC jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi walitoa zawadi katika kituo cha kulelea watoto yatima na hospitali ya Mbozi mkoani Songwe.
Yanga imeweka kambi Mbeya baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Ihefu SC kujiandaa na mchezo wao ujao dhidi ya Tanzania Prisons Sumbawanga mkoani Rukwa
0 comments:
Post a Comment