// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 21, 2020

    USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC

    MWENYEKITI wa Bodi ya Simba, Mohammed 'Mo' Dewji ameposti picha ya beki wa Barcelona, Gerald Pique akiwa ameshika jezi yake ya klabu hiyo na kuambatanisha na ujumbe; "Ni fahari kuweza kujenga mahusiano na mchezaji wa aina yake. Tunaamini kuna mengi ambayo tutaweza kujifunza na atakayo tushauri yatakayoleta maendeleo ya mpira hususa kwa vijana,".
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: USAJILI MPYA MSIMBAZI? BEKI NYOTA WA HISPANIA NA BARCELONA APIGA PICHA AMESHIKA JEZI YA SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top