ALIYEWAHI kuwa mfadhili wa Yanga SC wakati fulani, Subhash Patel –mmiliki wa Kampuni ya Motisun Group na hoteli ya White Sands amefariki dunia leo.
TFF imetoa taarifa ya kusikitishwa na msiba huo na kusema kwamba Patel alikuwa akiwasaidia mno na wao pia – na mara ya mwisho aliwasaidia mno wakati wa fainali za AFCON U17 2019 zilizofanyika Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment