Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akifanya mazoezi na beki Mkenya, Joash Onyango leo mjini Harare, Zimbabwe kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo.
Kiungo mpya, Mganda Thadeo Lwanga akifanya mazoezi leo kuelekea mchezo na wenyeji, FC Platinums Jumatano ijayo
Mshambuliaji Mkongo, Chris Mugalu akifanya mazoezi mjini Harare kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo. Mshambuliaji Mnyarwanda, Meddie Kagere akifanya mazoezi leo kuelekea mchezo na wenyeji, FC Platinums Jumatano ijayo
0 comments:
Post a Comment