// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 18, 2020

    SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA


    TIMU ya soka ya Tanzania imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya michuano ya CECAFA U17 baada ya sare ya 1-1 na Djibouti Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu, Rwanda. 
    Serengeti Boys iliyoanza na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Rwanda kwa ushindi huo, inafikisha pointi nne baada ya kucheza mechi mbili kwenye michuano hiyo ambayo bingwa wake atacheza fainali za AFCON U17 zitakazofanyika Julai mwakani nchini Morocco.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS YATINGA NUSU FAINALI CECAFA U-17 BAADA YA SARE YA 1-1 DJIBOUTI LEO RWANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top