
Mabao ya Serengeti Boys leo yamefungwa na Kassim Yahya dakika ya 10 na Omar Abbas dakika ya 14 na 61, wakati la Rwanda limefungwa na Irihamye Eric kwa penalti dakika ya 18.
Ikumbukwe bingwa wa CECAFA U17 atacheza fainali za AFCON U17 zitakazofanyika Julai mwakani nchini Morocco.
0 comments:
Post a Comment