// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 11, 2020

    SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU

    TANZANIA itafungua dimba na wenyeji, Rwanda kwenye michuano ya CECAFA U20 inayotarajiwa kuanza kesho hadi Desemba 22 huko Rubavu.
    Serengeti Boys watateremka Uwanja wa Umuganda mjini Rubavu Jumatatu kucheza na Rwanda kabla ya kurudi tena uwanjani hapo Desemba 17 kumenyana na Djibouti.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS KUFUNGUA DIMBA NA WENYEJI, RWANDA MICHUANO YA CECAFA U17 RUBAVU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top