Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akiifungia bao la kusawazisha Liverpool kwa penalti dakika ya 79 baada ya Bobby Decordova-Reid kuanza kuwafungia Fulham dakika ya 25 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
SALAH AISAWAZISHA LIVERPOOL KWA PENALTI YATOA SARE NA FULHAM
Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akiifungia bao la kusawazisha Liverpool kwa penalti dakika ya 79 baada ya Bobby Decordova-Reid kuanza kuwafungia Fulham dakika ya 25 katika sare ya 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Craven Cottage, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment