BAO pekee Ben Starkie dakika ya 25 limeipa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ushindi wa 1-0 dhidi ya U20 ya wenyeji wao Saudi Arabia leo Jijini Riyadh.
Ngorongoro Heroes iliyoweka kambi Saudi Arabia kujiandaa na Fainali za AFCON U20 zitakazofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4, mwakani – itacheza mechi nyingine Desemba 14.

0 comments:
Post a Comment