// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NGORONGORO HEROES WAPIGWA 1-0 NA WENYEJI SAUDIA ARABIA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NGORONGORO HEROES WAPIGWA 1-0 NA WENYEJI SAUDIA ARABIA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, December 14, 2020

    NGORONGORO HEROES WAPIGWA 1-0 NA WENYEJI SAUDIA ARABIA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO

    TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes leo imefungwa 1-0 na wenyeji, Saudi Arabia katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Chuo Kikuu cha Prince Muhammad Bin Fahd mjini Khobar.
    Ushindi huo unamaanisha Saudi Arabia imelipa kisasi cha kuchapwa 1-0 na kikosi cha kocha Jamhuri Kihwelo katika mchezo wa kwanza Alhamisi.
    Ngorongoro Heroes imetumia ziara ya Saudi Arabia kama ya maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) chini ya umri wa miaka 20 zitakazofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4, mwakani.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NGORONGORO HEROES WAPIGWA 1-0 NA WENYEJI SAUDIA ARABIA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top