Rooney ameposti picha akiwa na mkewe, Coleen wakimshuhudia mtoto wao wa umri wa miaka 11, Kai akisaini.

Katika miaka yake 13 ya kuwa na Mashetani hao Wekundu, Rooney ameweka rekodi ya Ufungaji Bora wa muda wote wa klabu kwa mabao yake 253, akiiwezesha timu kushinda mataji matano ya Ligi Kuu, moja la Champions League na mengineyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment