Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Venue Old Trafford. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 30 na kurejea nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
MAN UNITED YAICHAPA WOLVES 1-0 BAO PEKEE LA RASHFORD
Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 usiku wa jana Uwanja wa Venue Old Trafford. Kwa ushindi huo, Manchester United inafikisha pointi 30 na kurejea nafasi ya pili ikizidiwa pointi mbili na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya timu zote kucheza mechi 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment