Manchester United itamenyana na vinara wa LaLiga, Real Sociedad katika hatua ya 32 UEFA Europa League PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TIMU ya Manchester United itamenyana na vinara wa LaLiga, Real Sociedad katika hatua ya 32 UEFA Europa League.
Baada ya kuangukia kwenye michuano hiyo kufuatia kutolewa katika Ligi ya Mabingwa, kocha Ole Gunnar Solskjaer atakabiliwa na matihani mwingine mgumu mbele ya timu inayoongoza kwa kufunga mabao kwenye Ligi Kuu ya Hispania kwa sasa.
Arsenal nay imeoangiwa mpinzani mgumu katika Hatua hii, ambayo ni Benfica ya Ureno huo ukiwa mtihani mwingine kwa kocha Mikel Arteta kufuatia matokeo mabaya mfululizo msimu huu.
Kocha maarufu, Mreno Jose Mourinho kidogo hatakuwa na kazi ngumu baada ya Tottenham Hotspur kupangiwa Wolfsberger ya Austria.
Mechi ya Tottenha itachezwa Saa 24 kabla ya nyingine Jumatano ya Februari 24, kwa sababu Arsena watakuwa wana mechi pia, hivyo Jiji la London haliwezi kuwa na michezo miwili ya Europa League wakati mmoja.
Leicester City ni timu nyingine iliyopata mpinzani mwepesi kidogo, kwani itamenyana na Slavia Prague.

0 comments:
Post a Comment