Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 66, kiasi cha sekunde 21 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Martinelli katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion Uwanja wa Amex PICHA ZAIDI GONGA HAPA
LACAZETTE AFUNGA BAO PEKEE ARSENAL YAILAZA BRGHTON 1-0 THE AMEX
Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 66, kiasi cha sekunde 21 baada ya kuingia kuchukua nafasi ya Martinelli katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion Uwanja wa Amex PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment