Kocha mpya wa Azam FC, George Lwandamina 'Chicken', jana ameanza rasmi ya kufundisha timu hiyo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kufuatia kusiani mkataba wa mwaka mmoja.
Lwandamina kabla ya kuanza majukumu yake hayo, alikuwa akiwamulika wachezaji wake mazoezini na kwenye mechi mbili zilizopita (Biashara United, Gwambina) ili kuwafahamu.
0 comments:
Post a Comment