// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, December 18, 2020

    KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE

    KIKOSI cha Simba SC kimewasili mjini Harare nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, FC Platinums Jumatano ya wiki ijayo.






    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Profesa Emmanuel Mbenna kwenye picha ya pamoja na viongozi, wachezaji na benchi la ufundi la Simba baada ya chakula cha mchana leo


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI SALAMA HARARE NA KUPOKEWA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top