Fiorentina ilishinda 3-0 dhidi ya Juventus iliyomaliza pungufu baada ya Juan Cuadrado kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa Serie A Jijini Turin, mabao ya Dusan Vlahovic, Alex Sandro aliyejifunga na Martin Caceres PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FIORENTINA YAITANDIKA JUVENTUS MABAO 3-0 KATIKA SERIE A
Fiorentina ilishinda 3-0 dhidi ya Juventus iliyomaliza pungufu baada ya Juan Cuadrado kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo wa Serie A Jijini Turin, mabao ya Dusan Vlahovic, Alex Sandro aliyejifunga na Martin Caceres PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment