MABINGWA watetezi, Simba SC watamenyana na Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma, wakati vigogo wenzao, Yanga SC watamenyana na Singida United katika Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
RATIBA KAMILI
Simba SC v Maji Maji
Yanga SC v Singida United
Azam FC v Magereza FC
Rhino Rangers vs Fountain Gate.
Transit Camp vs Itezi FC.
Milambo vs Mbuni FC.
Eagle Stars vs Friends Rangers.
Kasulu Red Star vs Kipingwe FC.
Arusha FC vs Kiluvya FC.
Njombe Mji vs Mbao FC.
Tunduru Korosho vs Cosmo Politan.
Mashujaa FC vs Mbeya Kwanza.
Kwamndolwa FC vs African Sports.
Kurugenzi FC vs Kitayosce FC.
Sahare All Stars vs Amboni Stars.
Chato Stars vs Kengold FC.
Alliance FC vs African Lyon.
Namungo FC vs Green Warriors.
Biashara United vs Pan African.
Ruvu Shooting vs Mlale FC.
Coastal Union vs Stand United.
Dodoma Jiji vs Hollywood FC.
Mtibwa Sugar vs Geita Gold.
JKT Tanzania vs Magic Preasure.
KMC vs Lipuli FC.
Ihefu FC vs Iringa United.
Gwambina FC vs Usalama FC.
Mbeya City vs DTB FC.
Kagera Sugar vs Pamba FC.
Mwadui FC vs Boma FC.
Tanzania Prisons vs Mawenzi Market.
Polisi Tanzania vs Ndanda SC
(Mechi zitapigwa kati ya Desemba 25-27 mwaka huu)
0 comments:
Post a Comment