AZAM FC imesonga mbele Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Magereza, mabao ya Obrey Chirwa dakika ya 24 na Never Tigere dakika ya 65 leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
Match preview: Manchester United v City
-
Sunday's match provides us with the chance to complete a double over our
city neighbours.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment