TIMU ya Barcelona jana imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Willian Jose alianza kuifungia Real Sociedad dakika ya 27, kabla ya Jordi Alba kuisawazishia Barca dakika ya 31 na Frenkie de Jong kufunga la ushindi dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
BARCELONA YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 LA LIGA CAMP NOU
TIMU ya Barcelona jana imetoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Willian Jose alianza kuifungia Real Sociedad dakika ya 27, kabla ya Jordi Alba kuisawazishia Barca dakika ya 31 na Frenkie de Jong kufunga la ushindi dakika ya 43 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment