Ousmane Dembele akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 67 katika sare ya 1-1 na Eibar iliyotangulia kwa bao la Kike dakika ya 57 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
BARCELONA WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA EIBAR LA LIGA
Ousmane Dembele akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la kusawazisha Barcelona dakika ya 67 katika sare ya 1-1 na Eibar iliyotangulia kwa bao la Kike dakika ya 57 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment