MABINGWA watetezi, Bayern Munich watamenyana na Lazio ya Italia katika Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya mwakani.
Chelsea itamenyana na Atletico Madrid, wakati Liverpool wataivaa RB Leipzig na Manchester City itacheza na Borussia Monchengladbach.
Barcelona ya Lionel Messi itamenyana na Paris Saint-Germain ya Neyamr, wakati Cristiano Ronaldo ataiongoza Juventus dhidi ya Porto ya nyumbani kwao, Ureno.

Lionel Messi (kulia) ataiongoza Barcelona dhidi ya PSG iliyofika fainali na kufungwa na Bayer Munich msimu uliopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mechi za kwanza zitachezwa na kati ya Februari 16, 17 na 23 na 24 , na za marudiano zitachezwa kati yaMachi 9 na 10 na 16 na 17 mwakani, 2021.
RATIBA KAMILI
Gladbach v Man City
Lazio v Bayern
Atletico v Chelsea
Leipzig v Liverpool
Porto v Juventus
Barcelona v PSG
Sevilla v Dortmund
Atalanta v Real Madrid
0 comments:
Post a Comment