Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 52 kufuatia Theo Walcott kuifungia bao la kuongoza Southampton dakika ya 18 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
AUBAMEYANG AISAWAZISHIA ARSENAL 1-1 NA SOUTHAMPTON
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 52 kufuatia Theo Walcott kuifungia bao la kuongoza Southampton dakika ya 18 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 jana Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment