ARSENAL YAENDELEA KUBORONGA ENGLAND, YAPIGWA 2-1 NA EVERTON
NAYE kocha Mikel Arteta amezidi kujikuta katika wakati mgumu Arsenal baada ya timunhiyo kuendelea kuboronga kufuatia kuchapwa mabao 2-1 na Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Everton yalifungwa na Rob Holding aliyejifunga dakika ya 22 na Yerry Mina dakika ya 46, wakati la Arsenal Nicolas Pepe kwa penalti dakika ya 35. Everton inafikisha pointi 26 na kupanda nafasi ya pili, ikizidiwa pointi tano na mabingwa watetezi, Liverpool baada ya wote kucheza mechi 14, wakati Arsenal inabaki na pointi zake 14 za mechi 14 nafasi ya 15PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ugandan referees for 2025 FIFA badges confirmed
-
FUFA has confirmed a list of Ugandan referees approved to receive FIFA
badges for the calendar year 2024 The list submitted by FUFA after a
resolution by...
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment