// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ARSENAL WAMALIZA NA USHINDI WA 4-2 UGENINI EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEARSENAL WAMALIZA NA USHINDI WA 4-2 UGENINI EUROPA LEAGUE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ARSENAL WAMALIZA NA USHINDI WA 4-2 UGENINI EUROPA LEAGUE
TIMU ya Arsenal imekamilisha hatua ya makundi ya UEFA Europa League kwa ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Dundalk FC usiku wa jana Uwanja wa Aviva Jijini Dublin. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Eddie Nketiah dakika ya 12, Mohamed Elneny dakika ya 18, Joe Willock dakika ya 67 na Folarin Balogun dakika ya 80, wakati ya Dundalk FC yamefungwa na Jordan Flores dakika ya 22 na Sean Hoare dakika ya 85. Kwa ushindi huo, Arsenal imemaliza na pointi 18, ikifuatiwa na Molde yenye pointi 10, Rapid Wien pointi saba, wakati Dundalk haina pointi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment