• HABARI MPYA

        Sunday, November 15, 2020

        TIMO WARNER APIGA MBILI UJERUMANI YAITANDIKA UKRAINE 3-1


        Mshambuliaji wa Chelsea, Timo Werner jana ameifungia mabao mawili Ujerumani dakika ya 33 na 64 ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Ukraine katika mchezo wa Kundi la Nne Ligi ya Mataifa Ulaya Uwanja wa Red Bull Arena Jijini Leipzig. Bao lingine la Ujerumani lilifungwa na winga wa Bayern Munich, Leroy Sane dakika ya 23, wakati la Ukraine lilifungwa na Roman Yaremchuk dakika ya 12 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: TIMO WARNER APIGA MBILI UJERUMANI YAITANDIKA UKRAINE 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry