Washambuliaji tegemeo wa Simba SC, Nahodha John Bocco (kulia) na Mnyarwanda Meddie Kagere (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Jos, Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Jumapili jioni


0 comments:
Post a Comment