• HABARI MPYA

        Sunday, November 15, 2020

        RAMOS AKOSA PENALTI MBILI, HISPANIA SARE1-1 NA USWISI


        NAHODHA wa Hispania, beki mkongwe wa umri wa miaka 34, Sergio Ramos jana alikosa penalti mbili zilizookolewa na kipa wa Uswisi dakika ya 57 na 80 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Kundi la 4 Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa St. Jakob-Park Jijini Basel. Remo Freuler alianza kuifungia Uswisi dakika ya 26, kabla ya Gerard Moreno kuisawazishia Hispania dakika ya 89
         PICHA ZAIDI GONGA HAPA

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: RAMOS AKOSA PENALTI MBILI, HISPANIA SARE1-1 NA USWISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry