Wachezaji wa Simba SC wakienda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Boli Addis Ababa, Ethiopia tayari kuunganisha ndege kwenda Abuja, Nigeria kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Plateau United Ijumaa kufuatia safari iliyoanza jana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
Match report: Tottenham 4 United 3
-
The Reds exit the Carabao Cup, as Spurs hold off our late fightback in a
chaotic clash.
36 minutes ago
0 comments:
Post a Comment