Mchezaji wa Ngorongoro Heroes Abdul Hamisi Suleiman akiwa na mpira baada ya kufunga mabao matatu dakika za 65,71 na 90 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Djibouti kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha. Mabao mengine ya Tanzania yalifungwa na Teps Theonasy dakika ya 52, Khelfin Hamdou dakika ya 82 na Kassim Haruna dakika ya 88, wakati la Djibouti limefungwa na Abdourahma Kamil dakika ya 14
Video: Nick Saban Rips State of NIL, Says 'Each Year It's Gotten a Little
Worse'
-
Former Alabama head coach Nick Saban called out the progression of Name,
Image and Likeness (NIL) rules on Thursday. "Each year, it's gotten a
little worse,"…
13 minutes ago
0 comments:
Post a Comment